Adverts

Sep 22, 2011

SYNOVATE WAWASILISHA AWAMU YA KWANZA YA UTAFITI WA MASUALA YA UKIMWI

 BAADHI ya washiriki wa warsha ya kutoa mrejesho wa matokeo ya utafiti uliofanywa katika maeneo ambayo mradi wa ROADS unatekelezwa kupitia FHI ambao ulilenga makundi ya watoto walio mashuleni, nje ya shule, wanaofanya biashara ya ngono, akina mama wenye kipato kidogo na watu wanaoishi na VVU katika miji ya Kahama, Mwanza, Tunduma, Dar es salaam, Makambako. Utafiti huo umefanywa na SYNOVATE
Washiriki wakifuatilia mawasilisho katika ukumbi wa hotel ya Millenium Sea Beach View  Bagamoyo

Mkurugenzi wa TACAIDS katika eneo la Ulagbishi na miongozo ya kinga Bwana ASHIM KALINGA akionyesha mkakati wa Taifa wa kudhibiti Maambukizi ya VVU wa mwaka 2008-2012 wakati wa kufunga warsha hiyo


Baada ya hapo ikawa ni kupause kwa picha


Haule naye wa Njombe alikuwepo!!

Mwanya bwana!!!!!!