Adverts

Sep 7, 2011

UWANJA WA NDEGE WA KIGOMA NA KISWAKINGE!!!!!

Hapo ndio mlango wa kuingia katika uwanja wa Ndege wa Kigoma ukisoma hayo maandishi utajua kinachoendelea ni nini!
Wazungu wenyewe hawana tabu washakielewa kilichoandikwa wana furaha tele wakijiandaa kuingia.
KAPINGAZ Blog inawaomba wahusika wa Uwanja huu warekebishe hayo maneno hapo wanajiaibisha na pia wanauaibisha uwanja huo.