![]() |
| Macho ya diwani huyu yanaonyesha hali ya mashaka kwenye kikao hicho kilichoishia kwa baadhi ya madiwani kuporomosha matusi huku Dc akiuchuna kama vile siye yeye anayetukanwa. |
![]() |
| Mmoja wa madiwani akiwa keshajaa presha akilalamikia maamuzi ya kikao hicho |
![]() |
| Ikalazimu vijana wa jeshi la MWEMA wakae karibu na miembe chai yao kusubiria kitakachotokeza |








