| Hii ndiyo hali ya soko la MWANJELWA ilivyokuwa ambapo mali za mabilion zimeeendela kuteketea huku zimamoto wakishindwa kupitisha magari kuzima moto huo |
![]() |
| Hapa ndiyo kila kitu kimeteketea kabisa |
![]() |
| Watu wakijaribu Kuokoa mali zilizokuwa madukani lakini ulinzi ukiimarishwa |
![]() |
| Gari la ZIMAMOTO jijini Mbeya likitafuna |
![]() |
| Moto ukiteketeza moja ya mabanda ya eneo hilo |
![]() |
| Hali ilikuwa tete |
![]() |
| Mama huyu akioneana kuchanganyikiwa wakati jengo la duka lake likiungua moto |
![]() |
| Umati wa watu wakiwa wamejikusanya kufanya matukio kwenye eneo la maafa, hawa siyo wote wanataka kuokoa mali |
![]() |
| Ulinzi wa Pikipiki ulianza kukumbana na mvua ya mawe kutoka kwa wananchi al maarufu kama vibaka |
![]() |
| Maafa makubwa watu wamepoteza mitaji yao kwa mara ya pili tena |
![]() |
| Hawa sio wamiliki wa maduka bali ni wanufaika na maafa wakivusha bidhaa zilizotoka madukani |
![]() |
| wingu kubwa la moto likionekana kwa mbali eneo la sido mwanjelwa ambako maduka mengi yameteketea leo asubuhi |











