![]() |
| Baadhi ya waombolezaji wakiwa wakiwasili pamoja na mwili wa marehemu katika eneo la maziko ambapo Mwili wake ulilazwa katika makaburi ya Saba saba jijini Mbeya. Mazishi yamefanyika Jumamosi |
![]() |
| Hapa ndipo ibada ya mwisho ya mzee Lumage Fashion ilipofanyika katika kanisa la House of Player lilipo eneo la Uwanja wa Ndege Mbeya |
![]() |
| Mwili wa marehemu Aazalia Matumba Fungo ukiingizwa kaburini |
![]() |
| Umati uliohudhulia kumsindikiza mzee fungo |
![]() |
| Binti wa marehemu Amina Fungo akiwa na Mmewe wakiweka shada la maua kwenye kaburi |
![]() |
| Mkurugenzi wa Blog ya Mbeya yetu Joseph Mwaisango na Mkewe wakiweka shada la maua kwenye kaburi la Mkwe wake mzee Fungo |
![]() |
| Raha ya MILELE umpe ee bwana |
![]() |
| Salaam zikisomwa kwenye kaburi la marehemu katika eneo la Saba saba jijini Mbeya |







