Adverts

Sep 19, 2011

WAWEZA KWENDA BY SILVER

Hello mdau, Silver msanii wa Hiphop, baada ya kuachia audio ya BONGO TZ aliyofanya na Jay Moe.. hivi leo ameachia Video ya wimbo wake mpya unaoitwa "WAWEZA KWENDA" akimshirikisha Steve RnB ambapo Audio yake anategemea kuiachia hapo baadaye. KUTOKA BONGO STAR LINK