Adverts

Nov 27, 2011

ANTI VIRUS YAUA VIRUSI JIJINI NI BALAAA WATU WAKESHA WAKISIMULIANA YA KALE DHAHABU!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Mh Sugu akisalimiana na mashabiki wake
Mh Sugu akikamua
Mashabiki wa sugu wakifurahia shoo
Nyomi ilikuwa mara nne ya kule uwanja wa ugenini!!!
Sugu moto chini, sugu moto chini, ahaaa aaaahaaaahaaa
Mh Sugu akichana mistari chini ya miaka 18!!!!
Mbunge wa Ubungo Mh. John Mnyika anapanda jukwaaani kumpongeza Mr Sugu.