Adverts

Nov 27, 2011

JK AKUTANA NA VIONGOZI WA CHADEMA SASA IKULU

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipozi na kamati maalum ya CHADEMA ikiongozwa na Mwenyekiti wa Chama hicho Mh Freeman Mbowe pamoja na baadshi ya mawaziri leo Ikulu jijini Dar es salaam kuzungumzia mchakato wa katiba.