Rais Dkt Jakaya Kikwete akiwafafanulia wanahabari kuhusiana na Mkutano wa Kazi (Business Meeting) uliojadili Mpango wa Uwekezaji Katika Sekta ya Kilimo ns kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta hiyo wakiwemo mabalozi na wawakilishi wa taasisi za kimataifa, mawaziri na viongozi serikalini pamoja na wadau wa sekta ya umma. Mkutano huu wa siku mbili umefanyika Ubungo Plaza jijini Dar
(Picha na Ikulu)
Rais Dkt Jakaya Kikwete akiongea na wadau wa maendeleo baada ya kufunga Mkutano wa Kazi (Business Meeting) uliojadili Mpango wa Uwekezaji Katika Sekta ya Kilimo ns kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta hiyo wakiwemo mabalozi na wawakilishi wa taasisi za kimataifa, mawaziri na viongozi serikalini pamoja na wadau wa sekta ya umma. Mkutano huu wa siku mbili umefanyika Ubungo Plaza jijini Dar
Rais Dkt Jakaya Kikwete akifunga Mkutano wa Kazi (Business Meeting) uliojadili Mpango wa Uwekezaji Katika Sekta ya Kilimo ns kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta hiyo wakiwemo mabalozi zaidi ya 15, wawakilishi wa taasisi za kimataifa, mawaziri na viongozi serikalini pamoja na wadau wa sekta ya umma. Mkutano huu wa siku mbili umefanyika Ubungo Plaza jijini Dar
Wadau waklimsikiliza Rais Dkt Jakaya Kikwete wakati akifunga Mkutano wa Kazi (Business Meeting) uliojadili Mpango wa Uwekezaji Katika Sekta ya Kilimo na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta hiyo wakiwemo mabalozi na wawakilishi wa taasisi za kimataifa, mawaziri na viongozi serikalini pamoja na wadau wa sekta ya umma. Mkutano huu wa siku mbili umefanyika Ubungo Plaza jijini Dar
Rais Dkt Jakaya kikwete akiwasili/akihutubia katika ufunguzi wa majadilino ya sekta za umma na binafsi katika kusawazisha uwiano wa kodi katika Afrika Mashariki (Regional Public Private Dialogue on the harmonisation of domestic taxes in the EAC) ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania leo.
Anayemsindikiza ni Waziri wa Masuala ya Afrika Mashariki Mh. Samwel Sitta.
Wadau mbalimbali waliohudhuria katika mkutano huo leo uliofanyika kwenye hoteli ya Ubungo Plaza jijini Dar.
Mabalozi wa nchi mbalimbali wakimshangilia Rais Dkt Jakaya Kikwete alipokuwa akifunga Mkutano wa Kazi (Business Meeting) uliojadili Mpango wa Uwekezaji Katika Sekta ya Kilimo na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta hiyo wakiwemo mabalozi na wawakilishi wa taasisi za kimataifa, mawaziri na viongozi serikalini pamoja na wadau wa sekta ya umma. Mkutano huu wa siku mbili umefanyika Ubungo Plaza jijini Dar