Adverts

Nov 26, 2011

KWAHERI MWANDISHI MWENZETU MOSES KAWONA

MAREHEMU MOSSES KAWONA ENZI ZA UHAI WAKE
Mwenyekiti wa wanahabari mkoa wa Mbeya Christopher Nyenyembe akitoa
salamu za rambirambi kwa niaba ya wanahabari wa Mbeya katika mazishi ya
mwanahabari mwenzao MOSES Kawona
Baadhi ya wanahabari Mbeya wakishiriki katika kuusindikiza mwili wa marehemu Moses Kawona katika makazi yake ya milele
picha na Rshidi Mkwinda