Mgeni Rasmi pamoja na wahadhiri wa chuo cha Mipango Dodoma wakielekea kwenye Ukumbi wa Nyerere kushiriki katika kutunuku vyeti wahitimu |
Uongozi wa Bodi ya Chuo pamoja na Mgeni rasmi Naibu waziri wa elimu Gregory Teu wakifuatilia wimbo wa taifa |
Baadhi ya wahadhiri wa Chuo cha Mipango Dodoma pamoja na wageni waliohudhulia mahafali hayo |
Bango lao linajieleza!! |
Profesa Katega akizungumza kwenye mahafali hayo |
Maandamano ya kuelekea ukumbini |
Nakutunuku statashahada ya uzamili ya Mipango ya Mikoa ! ndivyo anavyotamka Naibu waziri wa Fedha Mh Gregory Teu wakati akimtunuku mmoja wa wahitimu |
Baadhi ya wahadhiri wa Chuo cha Mipango Dodoma |
Mtawa huyu ni miongoni mwa wahitimu wa kozi ya Astashahada ya Mipango ya maendeleo vijijini |
Mkuu wa Chuo cha Mipango Constantine Lifurilo akizungumza kwenye mahafali hayo |
Bendi ya asili kutoka kijiji cha Hombolo walionyesha uwezo wao katika kuruka migoma ya asili! over makhiri khiri |
Alama maalumu za kutambulisha chuo cha Mipango Dodoma ambapo Kitabu hicho ni mwongozo wa mafunzo ya mipango ya maendeleo Vijijini na Mipango ya Mikoa ambazo ndizo kozi mama za chuo hicho |
Profesa Zilihona Inoncent kulia, akifuatilia kwa makini yanayoendelea ukumbini |
Wahitimu leo Jioni |