Adverts

Nov 20, 2011

Makerere University yatengeneza gari la umeme

KiiraEV.JPG (Source: Makerere University - Home) Hatimaye Makerere University kimefanikiwa kutengeneza gari linalotumia umeme badala ya mafuta yanayopanda bei kila kukicha. Hili ni fundisho kwa UDSM, MIST na DIT. Tunasubiri nao watoe angalau kazi nzuri kama hii badala ya kubaki na makaratasi ya kazi za watu katika machapisho. Maprofesa waoneshe ujuzi kwa vitendo siyo kukimbilia posho bungeni.