Adverts

Nov 18, 2011

OOOOH MUNGU NI MWEMA, MY LAST BORN DAUGHTER

Oh nakushuru Mungu kwa kumwezesha mke wangu kuniletea mtoto wa pili, sasa now the equation is balanced one by one yaani furahaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Christian akimwangalia dadaye Christabel

Dogo njoo nikupakate! ndivyo Christian anavyoonekana kwenye pozi la picha . Thanks Emily kwa kunitumia  picha hizi manake nimeungana na   familia kupitia picha hizi I love you all !!