Adverts

Dec 7, 2011

FUSO INAYOBEBA TANI KUMI INAUZWA BEI 22 MILION TU

Imetumika Nchini miaka miwili na nusu, Iko katika hali nzuri sana, na inafanya kazi ya kwenda mbeya hadi leo, Ina engine ya 16, Gia 5, 7500cc, Inabeba tani 10. BEI 22,000,000 na maelewano yapo.
Kwa maelezo zaidi  piga namba 0714881500.
KUTOKA JAMII FORUMS