Adverts

Dec 7, 2011

MWANZA YAENDELEA KUPELEKWA KASI NA MVUA

Mazingira ya barabara ya Libert iliyo katikati ya jiji la Mwanza kwenye kona inayounga barabara hiyo na barabara ya Nterere. Kamera yako kwa chini zaidi. Maji yanatabia ya kufura na hata kufunika Kijidaraja hiki cha eneo la Uhuru kwenye mto Mirongo. Taswira ya Mto Mirongo kupandisha kuelekea Lango lango. Taka zilizojikita kwenye mfereji wa mto Mirongo ni kichocheo kikubwa cha mafuriko kwa wakazi wa maeneo ya karibu na mto. KUTOKA KWA SENGO MWANZA