Adverts

Dec 7, 2011

Rais aanza kutumikia kifungo gerezani

Rais wa zamani wa Israel Moshe Katsav (66) ameanza kutumikia kifungo cha miaka saba jela kwa kosa la kubaka. Katsav alifikishwa kwenye gereza la Maasiyahu jana kuanza kutumikia adhabu yake hiyo. Kwa habari zaidi, BONYEZA HAPA.