Adverts

Dec 7, 2011

RAIS DK. JAKAYA KIKWETE AFUNGUA JENGO JIPYA LA PSPF LINALOITWA (GOLDEN JUBILEE TOWERS)

Rais Dk. Jakaya Kikwete akihutubia wageni waalikwa wakati alipozindua jengo jipya la kitega uchumi la Golden Jubilee Towers, linalomilikiwa na Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF) lililopo barabara ya Ohio jijini Dar es salaam.Rais Dk.Jakaya Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi jengo la Golden Jubilee Towers jijini Dar es salaam leo, kulia ni George Yambesi Mwenyekitiwa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika hilo na kushoto ni Mustafa Mkulo Waziri wa Fedha na Uchumi.
Rais Dk.Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wakuu wa shirika hilo, viongozi wa Serikali pamoja na baadhi ya wafanyakazi.
Hili ndiyo jengo lenyewe la Golden Jubilee Towers lilivyo.
Mwenyekiti wa Bodi wa (PSPF) Bw George Yambesi akisalimiana na Mkurugenzi wa zamani wa (PSPF) mama Hawa Mmanga katika hafla hiyo.