Adverts

Dec 29, 2011

Sengondo Mvungi:Vyombo Vya Habari Viliandika Visivyo Uamuzi Wa Mahakama Kuu Kuhusu Shauri la Mbunge wa Kigoma Kusini(NCCR-MAGEUZI),David Kafulila Alilolipeleka Mahakamani

Sengondo Mvungi:Vyombo Vya Habari Viliandika Visivyo Uamuzi Wa Mahakama Kuu Kuhusu Shauri la Mbunge wa Kigoma Kusini(NCCR-MAGEUZI),David Kafulila Alilolipeleka Mahakamani:
Orodha ya Viongozi waliowahi kuwa wenyeviti wa chama hicho
Orodha ya waliowahi kuwa makatibu wa chama hicho
Mkuu wa Idara ya Katiba, Sheria na Haki za Binadamu wa NCCR-Mageuzi, Sengondo Mvungi akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam, ambapo alilalamikia vyombo vya habari kwamba viliandika visivyo uamuzi wa Mahakama Kuu,Kanda ya Dar es Salaam, kuhusu shauri la Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila alilolipeleka mahakamani kuomba zuio la hatua zilizochukuliwa dhidi yake na chama hicho. Kushoto ni Martine Juju, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya chama hicho.Picha na Habari na Richard Mwaikenda