Adverts

Dec 29, 2011

Wananchi wa Zanzibar Waombwa Kushiriki Dua Maalum ya Mkesha Wa Kuliombea Taifa la Zanziba

Mratibu wa Mkesha wa kuliombea Taifa, Allen Mbaga kulia akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari hawapo pichani kuhusu maandalizi ya Mkesha huo katika ukumbi wa Habari Maelezo Zanzibar, Raha Leo kuliani kwake ni viongozi mbali mbali wa Kamati ya Mkesha huo kutoka makanisa mbali mbali Zanzibar.Picha na Yussuf Simai-Maelezo Zanzibar