Adverts

Jan 4, 2012

Daraja hili Lenye Urefu wa Mita 500 limejengwa Juu ya Mto Lyandembera

Daraja hili lenye urefu wa mita 500 limejengwa juu ya mto Lyandembera likiunganisha kitongoji cha Kinyasuguni na Mahango, Madibira, wilayani Mbarali mkoani Mbeya. Limejengwa kwa Sh milioni 10.Picha na Frank Leonard