Adverts

Jan 11, 2012

DKT. W. SLAA KUFANYA MKUTANO LEO JIJINI MBEYA JIONI HII

Dkt Slaa akishangiliwa na wanachama wake alipokuwa akipita maeneo ya mwanjelwa
Dkt Slaa akikaribishwa na mbunge wa mbeya mjini Mh Joseph Mbilinyi mara baada ya kuingia maeneo ya uyole jijini Mbeya
Mbunge wa Jimbo la Mbozi Magharibi Mh David Silinde akisalimiana na dkt Slaa mara baada ya kuwasili jijini mbeya jioni hii
Baadhi ya wabunge na wanachama wa chadema akimsikiliza Dkt Slaa mara baada ya kuwasili mbeya