Adverts

Jan 1, 2012

Hatua za Kufanya Mapenzi Salama

mapenzi salama Kama unahisi uko tayari kufanya mapenzi, au tayari unashiriki katika ngono, ni vyema kuchukua tahadhari. Hakikisha katika harakati zako za kufanya mapenzi, unajali afya yako kwa kufanya ngono iliyo salama. Inaweza kuwa vigumu, na jambo unalolionea haya kujadiliana na mapenzi wako, swala la uwezekano wa kuambukizwa magonjwa ya zinaa, na kutumia njia za kuzuia mimba. Lakini kulikwepa swala hilo kwaweza kumaanisha kuhatarisha afya na maisha yako kwa jumla. Kufanya mapenzi salama , maana yake ni kutafakhari maswala hayo na kisha kuchukua hatua zifaazo. Endelea Kusoma