Adverts

Jan 1, 2012

WACHEZAJI WATIMU YA TAIFA YA NDONDI WAILOTEULIWA KUSHIRIKI KINYANGA'NYIRO CHA KUTAFUTA NAMBA YA KUSHIRIKI OLIMPIKI 2012

MAJINA YA WACHEZAJI WA TIMU YA TAIFA YA NGUMI WALIOTEULIWA KWA AJILI YA MAANDALIZI YA MASHINDANO YA KUFUZU KWENDA KUWAKILISHA TAIFA KATIKA MASHINDANO YA OLMPIKI LONDON UINGEREZA Julai 2012.
Kocha wa Mchezo wa ngumi, Seper D Boxing Coach, akiwa na baadhi ya vifaa alivyokabidhiwa kwa ajili ya kambi yake.
KUTOKA NGOME BOXING TIMU: 1. .SELEMAN KIDUNDA. 2. PETER STANLEY 3. .MORIS MHINA 4. 3.KILLER MOHAMED 5. .ABDALAH KASSIM 6. SUNDAY ELIAS 7. DENIS MARTINE 8. ABDALAH KITENGE 9. HUSSEIN MNIMBO 10. HARUNA SWANGA 11. SAID PUME 12. HASHIM SAIMON 13. RAJABU MADINDA 14. ABDALAH SHABANI 15. ABDU RASHID 16. FRANK NICOLOUS
Kocha wa ngumi, Kinyogoli akimkochi mmoja kati ya wanafunzi watoto wa katika Kambi ya Super D Boxing Coach, ambaye ni mtoto wa kike.
KUTOKA MMJKT BOXING TIMU: 1. EMILLIAN PATRICK 2. MAXIMILIAN PATRICK 3. ISSA ABDALAH KOBA 4. HAMDAN ISSA 5. SAID HOFU 6. KASSIM HUSSEN 7. BONIFACE MLINGWA 8. DOGO MUSSA 9. GRORGE COSTANTINO 10. JOHN CHRISTIAN 11. VICTOR NJAITI 12. ISMAIL ISACK 13. ELIAS MKOMO 14. WAMBURA AMIRI
KUTOKA MAGEREZA BOXING TIMU: 1. UNDULE LANG"SON 2. NURU IBRAHIM 3. SELEMAN BAMTULA 4. MICHAEL PASCHAL 5. SHABAN ALLY 6. MUSIN KIMWAGA 7. OSWARD CHAULA 8. ANTON IDOA 9. LUSAJO MWAIPOPO 10. MOHAMED CHIBUMBUI
KUTOKA SIFA BOXING TIMU 1. IDDI PIALALI 2. ANCE JOHN 3. SHABAN MAFIGA 4. DOTO SHOKA KUTOKA POLISI BOXING TIMU 1. YAHAYA MALIKI KUTOKA URAFIKI BOXING TIMU: 1. FADHIR HASSAN KUTOKA TEMEKE BOXING TIMU: 1. EDWARD ASAJILE 2. ABDALAH MFAUME
KUTOKA NYAMBELE BOXING TIMU (DODOMA) 1. ANTONY NYAMBELE KUTOKA MTONI BOXING TIMU 1. CHUKI MOHAMED
MAZOEZI KWA WACHEZAJI 51 WALIOTEULIWA YATAANZA MARA TU BAADA YA KURIPOTI BFT NA KUPANGIWA KITUO CHA KUFANYIA MAZOEZI KATI YA VITUO TULIVYOANISHA VYA UWANJA WA NDANI WA TAIFA,MAGEREZA UKONGA, MGULANI JKT,NGOME,NA URAFIKI.
MWISHONI MWA Januari 2012 KUTAFANYIKA MASHINDANO MAALUM YA MCHUJO KWA HAO WACHEZAJI WALIOTEULIWA ILI KUPATA WACHEZAJI 20. 15-22/2/2012 TIMU HII ITASHIRIKI MASHINDANO YA TAIFA YATAKAYOSHIRIKISHA MIKOA YOTE YA TANZANIA BARA KWA LENGO LA KUSHIRIKISHA MIKOA YOTE ILI KUPATA WAWAKILISHI WA SURA YA KITAIFA. BAADA YA MCHAKATO HUO NA KURIDHIKA NA WACHEZAJI WALIOFIKIA VIWANGO WATAINGIA KAMBINI KWA AJILI YA MAZOEZI KABAMBE YA MWISHO IKIWA NI PAMOJA NA KUSHIRIKI MASHINDANO YA MAJARIBIO YA KIMATAIFA KABLA YA KWENDA CASABLANCA MOROCCO KATIKA MASHINDANO YA KUFUZU KWENDA KATIKA MASHINDANO YA OLIMPIKI.
MASHINDANO YA KUFUZU MOROCCO YATAFANYIA KUANZIA TAREHE 27/4-6/5/2012.NA KATIKA MASHINDANO TUNATEGEMEA KUPELEKA WACHEZAJI 10 WA UZITO WA KUANZIA FLY WEIGHT HADI SUPER HEAVY WEIGHT MAKORE MASHAGA KATIBU MKUU(BFT) Mob: +255 713 588818