Kimunya Kilasi,leo hii ilikuwa zamu yake kubembeleza mtoto ,utaratibu huu mzuri kumwezesha baba pia kuexperience mtoto akijisaidia haja ndogo mgongoni kwako inakuwa vipi!! hii kitaalamu inajenga uasili wa mtoto kwa baba kitu ambacho katika makuzi yake anakuwa na upendo kwa wazazi wake wote tofauti na akina baba wanaoona kazi hii ni ya mama na watumishi wao wa ndani!! Fanya mabadiliko leo, chukua hatua, Njoo tuzungumze!!!Tangazo hili kwa hisani ya watu wa Marekani!!!! kama tulivyozoeshwa !!!!!! |