Adverts

Jan 12, 2012

NGUZO YA UMEME YACHANWA VIBAYA NA RADI HUKO MBOZI MBEYA NG'OMBE WAPONEA CHUPU CHUPU

NGUZO YA UMEME YACHANWA VIBAYA NA RADI HUKO MBOZI MBEYA NG'OMBE WAPONEA CHUPU CHUPU:
Katika hali isiyo ya kawaida mida ya mchana kabisa eneo la kuelekea Vwawa mbeya kutokea Mbozi Mission kulitokea tukio la ajabu kidogo ambapo radi ambayo hajurikani ilitokea wapi ilipiga nguzo ya umeme na kuichana vibaya huku mifugo ikiwa imesaimika, Akizungumza na wananchi Baadhi juu ya tukio hilo Mwandishi wetu maalum wa Huko Mbozi, walidai kwamba tukio hilo pia liliwashangaza wengi na kuwaacha na maswali mengi, Hata hivyo mkazi mmoja wa eneo hilo alisema kwamba Radi kama hizo zinazo piga mchana na hakuna Mvua bali Jua tuu hulenga kufanya maafa Fulani. Tukio hilo lilitokea Mchana kabisa sa saba. kutoka mbeya yetu