Indaba blog is rural based online news for rural and urban community!!
Adverts
Jan 9, 2012
Rais Jakaya Kikwete Akutana na Ujumbe wa Rais wa Gambia Ikulu, Dar es salaam
Rais Jakaya kikwete akiwa na Waziri wa Uvuvi, Maliasili na Bunge wa Gambia na Mjumbe Maalumu wa Rais Yahya Jammeh, Mh Lamin Kaba, ambaye kamletea ujumbe toka kwa Rais huyo Ikulu jijini Dar es salaam leo January 9, 2011.Picha na IKULU