Adverts

Jan 2, 2012

RAIS KIKWETE AWAAPISHA MAKATIBU WAKUU NA MSAIDIZI MMOJA

 Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue amkimkabidhi Mh Suzana Mlawi kabla hajaapa mbele ya Rais kuwa Naibu Katibu Mkuu Ikulu leo
 Rais Jakaya Kikwete akimwapisha Naibu Katibu Mkuu Ikulu Mh Suzana Mlawi
 Rais Jakaya Kikwete aklimwapisha Mh Eliakim C. Maswi kuwa Katibu Mkuu wizara ya Nishati na Madini
 Rais Jakaya kikwete akimwapisha Mh Peter Ilomo kuwa Katibu Mkuu Ikulu
Rais Kikwete na Makamu wa Rais Mh Mohamed Ghalib Bilali na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue wakipozi na Makatibu wakuu hao baada ya kuapishwa
 Waziri wa Nishati na madini Mh William Ngeleja na Naibu wake Mh Adam Malima wakimkaribisha Katibu Mkuu mmpya Mh Eliakimu C Maswi kwa maua 
 Rais Jakaya kikwete na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na Naibu katibu Mkuu Ikulu Mh Suzana Mlawi wakipozi na baadhi maofisa wa ofisi hiyo
Rais Kikwete akipozi na familia ya Mh Suzana Mlawi
 Rais Kikwete akipozi na familia ya Mh Eliakimu C Maswi
Rais Kikwete akipozi na familia ya Mh Peter Ilomo
picha zote kwa hisani ya Ikulu blog