Adverts

Jul 28, 2012

JK AFUNGUA KONGAMANO LA CHINA NA AFRIKARais Jakaya Mrisho Kikwete katika mazungumzo rasmi na Waziri wa China anayeshughulikia Umaskini Mhe Fan Xiaojian, jijini Dar es Salaam Jumamosi Julai 28, 2012.  Kongamano la tatu la Jukwaa la Uhusiano wa China na Bara la Afrika katika kuondoa umaskini katika hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam leo July 28, 2012.

(PICHA ZOTE NA IKULU)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsikiliza  Waziri wa China anayeshughulikia Umaskini Mhe Fan Xiaojian(kuhsoto) na  Balozi wa China hapa nchini Mhe L.V. Youqing. baada ya  akifungua Kongamano la tatu la Jukwaa la Uhusiano wa China na Bara la Afrika katika kuondoa umaskini katika hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam leo July 28, 2012.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua Kongamano la tatu la Jukwaa la Uhusiano wa Chinana Bara la Afrika katika kuondoa umaskini katika hoteliya White Sandsjijini Dar es salaamleo July 28, 2012