![]() |
| Afisa Maendeleo ya jamii Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi Bwana Christopher Mahawa akifungua warsha ya siku tatu ya kutengeneza mpango mkakati wa wa chama cha wasioona wilaya ya Mbozi |
![]() |
| Wanachama wa chama cha wasioona wakifuatilia mijadala ukumbini |
![]() |
| Mwenyekiti wa chama cha wasioona Mbozi Anyosisye Mwaswala akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kufungua mkutano huo |



