Adverts

Jan 26, 2013

DAWA ZA SEPRINI AMBAZO HUTUMIWA ZAIDI NA WENYE VVU ZABAINIKA KUWA NA KASORO

 DAWA AINA YA SEPRIN (DIOTRIM 480 zinazozalishwa na kampuni ya KEKO  BATCH 661011 zilizotengenezwa 2011 ZIMEONEKANA KUWA NA KASORO BAADA YA VITUO VINGI VYA AFYA NA ZAHANATI WILAYANI MBOZI KURIPOTI VIDONGE KATIKA MAKOPO KUWA NA RANGI NYEUSI KAMA VINAVYOONEKANA UPANDE WA KULIA WA KOPO HAPO JUU
 TABIBU KATIKA ZAHANATI YA NAMBINZO AKIONYESHA MOJA YA MAKOPO YALIYOGUNDULIKA KUWA NA KASORO BAADA YA MGAO WA DAWA  HIZO, HUKU MKAGUZI MFAMASIA AKICHUNGUZA DAWA ZINGINE KITUONI HAPO
HILO NDILO KOPO LA KAMPUNI YA KEKO LENYE KASORO AMBAPO MATATIZO KAMA HAYO YALIBAINISHWA KWENYE ZAHANATI ZINGINE ZIKIWEMO  IKONYA, HAMWELO  AMBAPO MAKOPO ZAIDI YA KUMI YALIKUWA NA KASORO ZA AINA HIYO