Hivi ndivyo makete inavyoonekana kwa mbali katika baadhi ya vijiji |
Hii ni sura ya miongoni mwa vijiji vya wilaya ya Makete hapa ni Isapulano |
Bado Makete mazingira yake hayajaharibiwa na ikiwa wananchi wataendeleza ile mipango ya miaka mingi ya upandaji miti, hali ya misitu huenda ikarejea katika kipindi cha miaka michache ijayo |
Wanyama hawa maarufu kama simbilisi hufugwa kwa wingi katika wilaya ya Makete na wanafaa kwa lishe ! wana sifa za kuzaliana sana hasa kwenye mazingira yenye moto karibu(jikoni) |
Hapa ni wilayani Makete na kwa mbali kinaonekana chuo kipya cha VETA MAKETE , wilaya ya Kazi ndiyo motto wa wilaya Makete PICHA ZOTE KUTOKA KWA TITO NGAJILO WA MAKETE PLATFORM |