Adverts

Jan 24, 2013

MAZINGIRA YA KUSOMEA YA CHUO CHA MIPANGO YAZIDI KUBORESHWA wadau pamoja na mtendaji wa Mtandao huu wakiwa ukumbi wa maktaba ya Chuo cha Mipango ghorofa ya pili ambako ni maalumu kwa majadiliano ya vikundi
Ilikuwa ni wakati wa kukimbizana na reseach paper

Kazi inaendelea kila mtu akiwa kainamia kazi!

Mkuu wa chuo cha Mipango Constantine Lifurilo

Mkurugenzi sehemu ya raslimali watu Bw Tibelio Mdendemi akisisitiza jambo wakati wa mahojiano na mtandao wa indaba africa