Adverts

Jan 19, 2013

SAFARI YA MWISHO YA MDAU WETU CLETUS MUNISHI

mara baada ya mwili kuwasili nyumbani kwake mwenge (PICHA ZOTE NA MWAIPULA PRODUCTION MBOZI)

Mwili ukishushwa kutoka kwenye gari

Familia ya NMB walikuwa pamoja wakati wa msiba wa mwenzao ambaye atakumbukwa kwa ucheshi wakeMwisho wa maisha yake katika mazingira ya mbozi ulikuwa huu hapa mara baada ya misa ya kumwombea (picha zote na MWAIPULA PRODUCTION)