Adverts

Feb 15, 2013

CHANGANYA KICHWA YA MPAKA WA TUNDUMA KAMATI YADUWAA


 HUO MFEREJI HAPO UNATENGANISHA SERIKALI MBILI YAANI TANZANIA NA ZAMBIA NA BARABARA AMBAMO WATU WANAPITA NI UPANDE WA ZAMBIA NA KANDO YANAYOENKANA NI MADUKA YA VIPODOZI AMBAVYO VIMEPIGWA MARUFUKU NA SERIKALI YA TANZANIA 
 MKURUGENZI WA TFDA   BW HIITI SILLO AKIZUNGUMZA NA WANDISHI WA HABARI NJE YA JENGO LA TRA
 MWENYEKITI WA KAMATI YA HUDUMA ZA JAMII MAGRET SITTA AKIWA NA MBUNGE
 KAMERA NA KAZI KIPI KIZURI? AAAAAH ZOTE NI KAZI  HUYU JAMAA JANA ALIKUWA PHOTOGRAPHER WAKATI KAMATI YA HUDUMA ZA JAMII  ILIPOFIKISHWA KWENYE MPAKA WA TANZANIA NA ZAMBIA
 WAHESHIMIWA WABUNGE  WAKISIKILIZA MAELEZO YA IDARA MBALIMBALI MPAKANI
MH OBAMA (MB akiongozana na wabunge wenzake kwenye ziara hiyo