Adverts

Feb 13, 2013

KIMONDO KINGINE CHAGUNDULIKA MBOZI, KIMO KWENYE BWAWA LA CHUMVI

 KIMONDO KILICHOGUNDULIKA KWENYE BWAWA LA CHUMVI KATIKA TARAFA YA KAMSAMBA WILAYANI MOMBA 
MMOJA WA WAKAZI WA ENEO HILO AKIMPELEKA MPIGA PICHA WETU KUMWONYESHA KIMONDO HICHO, INAELEZWA KUWA KUNA WAZUNGU WAWILI WALISHAWAHI FIKA HAPO NA MMOJA AKATUMBUKIA NA KUFA HUMO HUMO KARIBU NA KIMONDO HICHO. MAJI YALIYO ENEO HILO YANACHEMKA NA KUTOA BUBBLES