Adverts

Feb 13, 2013

NIMEIMISIJE HII TAASISI? MIPANGO NIMEKUMISS SANA!!

 MKUU WA CHUO CHA MIPANGO DODOMA CONSTANTINE LIFURILO WA KWANZA KULIA AKIFUATIWA NA MWENYEKITI WA BODI YA CHUO CHA MIPANGO DR RAZACK  LOKINA na MWENYEKITI WA TAASISI YA DONET  BWANA MSHUDA (katikati)
 MKUU WA WILAYA YA KILOLO WA KWANZA KULIA BWANA JOHN GUNINITA  AKIFUATILIA MIJADALA KATIKA CHUO CHA MIPANGO AMBAKO PIA NAYE ALISOMA HAPO
 DK BASHEMERA (MIWANI) NA DR NHEMBO KULIA WAKIFUATILIA MOJA YA MIHADHARA KATIKA CHUO CHA MIPANGO DODOMAKWA WALIOSOMA CBE DODOMA BILA SHAKA JINA LA KIPUTIPUTI NI MAARUFU SANA, HAPA ANAMWAGA MANENO KWENYE MHADHARA WA CHUO CHA MIPANGO