Adverts

Feb 13, 2013

ORERATION ZIWA RUKWA

 Mtambo wa kuvulia samaki umebuma, kina cha maji kimerudi nyuma, boti iliyokuwa majini sasa ipo nchi kavu kutokana na ziwa kuendelea kusinyaaa
 Choka ile ile, nani kakwambia kamanda hachoki?
Londo ya kazi ikiwa inapunga upepo tukiwa mwambao wa ziwa Rukwa kufanya ukaguzi wa matumizi ya raslimali zilizomo ndani na nje ya ziwa kwa njia endelevu