Adverts

Feb 21, 2013

MAPOROMOKO YA MTO MOMBA YATAKAYOTUMIKA KUZALISHA UMEME MW10

 MKUU WA WILAYA YA MOMBA ABIUD SAIDEA KUSHOTO AKIWA NA DSO MOMBA BWANA MASANJA WAKATI WA ZIARA KWENYE ENEO LA KUFULIA UMEME MTO MOMBA
 MKUU WA WILAYA MOMBA AKIMTAMBULISHA MWEKEZAJI WA SKY ENERGY INTERNATIONAL 
 PICHA YA PAMOJA KWA WALIOFANIKIWA KUFIKA KWENYE ENEO LA UJENZI WA MRADI, WENGI WALISHINDWA KUTEMBEA UMBALI WA KILOMETA NNE ZA KUPANDA MILIMA NA MABONDE KWENDA KWENYE CHANZO HICHO
 MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA MOMBA AKIPITIA NYARAKA MBAMBALI KWA MBAALI YANAOENAKA MAPOROMOKO YA MFUTO
 DC MOMBA ABIUD SAIDEA AKIFURAHIA KUFIKA ENEO LA  MAPOROMOKO
 MPIGA PICHA WETU GODFREY MWAKITWANGE NI MIONGONI WALIOFIKA KWENYE ENEO LA UJENZI WA MRADI
 MWANANCHI HUYU ALIAMUA KUWATHIBITISHIA VIONGOZI WAKE KUWA MAJI NI TATIZO ALIWAONYESHA MAJI WANAYOKUNYWA SIKU ZOTE NA HAPO KAINAMA AKIYANYWA
 HAYA NDIYO MAPOROMOKO YA MOMBA AMBAYO YATATUMIKA KUZALISHA UMEME KATIKA KIPINDI CHA MIAKA MINNE IJAYO BAADA YA UJENZI WA MRADI HUO KUKAMILIKA

 MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA MOMBA BERNARD SICHOLONGA  AKIWA NA MADIWANI WENZAKE KWENYE KILELE CHA MLIMA NYUMA YAKE NDIKO YALIYOKO MAPOROMOKO YA MOMBA
 KATIBU TAWALA WA WILAYA YA MOMBA BWANA GODFREY  KIKOSA ALIBADILIKA NA KUWA MWANAKIJIJI BAADA YA HALI KUWA MBAYA NA KULAZIMIKA KUVUA SHATI  KUTOKANA NA KUCHOKA
 HAPA NDIPO WAZEE WETU WAMEKUWA WAKITUNDIKA MADARUGA YAO YA ASILI KWA KUFANYA MATAMBIKO NA MILA NA MAMBO YOSA HAPA, HATA JANA CHUNGU HIKI KILIFANYIWA MAMBO ASUBUHI NA MAPEMA ILI KURUHUSU WAGENI KUINGIA ENEO LA MRADI
AFISA ARDHI BWANA MOSES KIBONA AKIFURAHIA BAADA YA KUFANIKIWA KUVUKA VIKWAZO HADI KUFIKIA ENEO LA MRADI AKIWA HOOOI
PICHA ZOTE NA MPIGA PICHA WA INDABA BLOG - GODFREY MWAKITWANGE