Adverts

Feb 2, 2013

MBOZI YAWAPONGEZA WACHEZAJI WAKE KWA KUCHUKUA USHINDI WA PILI

 Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya Mbozi Erick Minga akizungumza kwenye hafla ya kuwapongeza wanamichezo walioshiriki michezo ya serikali za Mitaa mkoani Dodoma mwishoni mwa mwaka jana na kuchukua ushindi wa nafasi ya pili katika soka la wanaume na kuwa washindi wa tatu kwenye mpira wa wanawake na washindi kwenye volley ball

 Kaimu Mkurugenzi Halmashauri ya wilaya Mbozi Christopher Mahawa akizungumza kwenye hafla hiyo ambapo amekiri halmashauri kutenga kiasi cha kutoshereza kwaajili ya shughuli za michezo na kuimarisha viwanja kwa mwaka 2012/2013
 Afisa Utamaduni Fridolin Njenga ambaye aliongoza timu hiyo akizungumza kwenye hafla ya jioni ya leo
 Mwenyekiti wa chama cha soka wilaya ya Mbozi Kasebele akizungumza kwenye hafla hiyo


 Wanamichezo walioiwakilisha vyema kwenye mashindano hayo wakiwa kwenye mapozi baada ya kupokea pia kichele chao ikiwa ni sehemu ya motisha baada ya kuibeba vyema bendera ya timu ya Mbozi