Adverts

Feb 18, 2013

MGAWANYO WA HALMASHAURI MBOZI

 MADIWANI WANAOUNDA BARAZA LA HALMASHAURI YA WILAYA MBOZI WAKIFURAHIA JAMBO BAADA YA MGAWANYO WA HALMASHAURI NA KUZALIWA HALMASHAURI YA WILAYA MOMBA
MADIWANI WANAOUNDA HALMASHAURI YA WILAYA YA MOMBA WAKIWA NA NYUSO ZA FURAHA BAADA YA WILAYA YAO KUZALIWA RASMI NA KUPEA HATI YA UKUBALIFU, KATIKATI MKUU WA MKOA WA MBEYA