Adverts

Feb 2, 2013

NGWASUMA WANGWASUMISHA MBOZI MPAKA KUCHEEEE

 KAIMU MKURUGENZI HALMASHAURI YA MBOZI CHARLES MKOMBACHEPA AKIZUNGUMZA NENO HUKU AKITAMBULISHA WADAU WALIOFANIKISHA SHOW NZIMA YA KUNDI LA FM ACADEMIA JUZI KATIKA UKUMBI WA UWANJI HILL MOTEL
 MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA WILAYA MBOZI ERICK MINGA AKIFUNGUA SHUGHULI HIYO
 MPIGA TUMBA WA KUNDI LA FM ACADEMIA ALIKUWA MIONGONI MWA VIVUTIO KATIKA SHOW HIYO


 MAMBO HAYA WATU HAWAJAYAZOEA!!!! WAZEE WALIOKUWA UKUMBINI WALITOA MACHO KAMA MAFUNDI SAA KWA JINSI WACHEZA SHOW HAWA WALIVYOMWAGA MAUNO HADHARANI BILA AIBU
 WADAU MBALIMBALI WALIHUDHULIA SHOW HII KALI YA MWAKA KWA WILAYA YA MBOZI
 KAMA KAWA WATU WALIKUNYWA WAKASAZA
 MMOJA WA WADAU WALIOFANIKISHA UJIO WA KUNDI HILI PAPA NCHIMBI AKIWA NA MDAU MWINGINE TOKA TRA TUNDUMA AMBAO WALIWEZESHA SHOW HIYO KUFANYIKA
 KUNDI LA FM AKADEMIA LIKAANZA HIVI
 PAPA MBAPILA ALIKUWEMO PIA
 YA KALE NI DHAHABU MMOJA WA WADAU WA KUNDI HILO TANGU JIJINI DAR ES SALAM BWANA JUMANNE IFANDA ALIKUWA AMETULIA  HUKU MSAANI MMOJA BAADA YA MWINGINE AKIFIKA KUMSALIMIA PALE ALIPOKAA WAKITHAMINI KUWA NI MDAU WAO MUHIMU  LICHA YA KUHAMA KUTOKA JIJINI DAR

 MDAU DAVI PIA ALIKUWA NA MAMA WIFE WAKE WA UKWELI
TASLIMU ZINALIPWA KWA KIONGOZI WA FM ACADEMIA KWAAJILI YA KUNUNUA CD ZAO, MWENYEKITI WA HALMASHAURI ERICK MINGA ALISISITIZA KUWA NI SHABIKI WA KUTUPWA WA KUNDI HILO