Adverts

Mar 6, 2013

MTITI WA KENYATTA NA ODINGA UPDATES THIS MORNING


 Mchaka mchaka wa uchaguzi kenya asubuhi hii umeendelea kuonyesha kuwa Kenyatta anaendelea kushikiria mwelekeo wa moshi mweupe kumwelekea upande wake kutokana na kuweka gap la tofauti ya kura 590,000 ambazo sasa ongezeko lake linaenda kwa kusua sua ! kwa pande zote za wagombea!