Adverts

Mar 9, 2013

NAIBU WAZIRI WA MAJI ATAKA MIRADI IKAMILISHWE KWA KIWANGO NA KWA WAKATI

 Mhandisi wa Maji wilaya ya Mbozi Ackson Mwasyange akiwasilisha taarifa ya Miradi ya Maji  kwa Naibu waziri wa Maji Mhandisi Dr Binirith MahengeViongozi mbalimbali waliohudhulia kikao cha Naibu waziri  wa Maji wakiwa wanafuatilia kwa makini taarifa iliyosomwa na mhandisi wa maji wlaya Mbozi
samahani kutokana na tatizo la network picha zilikuwa zikiiingiliana kwa siku kadhaa, hii ni shughuli nyingine kwenye hafla ya usiku wa Mwanamke wilayani Mbozi
Mmoja wa wadau katika hafla hiyo alichizika na kufurahia usiku wa mwanamke, yeye ni mtaalamu wa Mapambo na upambaji kumbi za sherehe wilayani Mbozi
Pongezi kwa kuchangia mkakati wa ujenzi wa miundombinu rafiki ya watoto wa kike wilayani Mbozi
Mh Mbunge wa Mbozi Godfrey Zambi akizungumza kwenye kikao ambacho aliikana taarifa ya Mhandisi wa Maji wa wilaya ya Mbozi  mbele ya Naibu waziri wa Maji  Mhandisi Binirith Mahenge
Mh Naibu Waziri wa Maji Dr Mahenge akifuatilia maelezo kutoka kwa Mbunge
Baadhi ya wakuu wa idara halmashauri ya Mbozi na wataalamu kutoka ofisi ya Maji Kanda na Mkoani Mbeya