Adverts

Mar 9, 2013

KAMPUNI YA VODA MNABOREKWA KUTOOMBA MSAMAHA WATEJA WENU!!!!!

KATIKA KIPINDI CHA WIKI MOJA SASA SPEED YA INTERNET YA VODACOM IMEKUWA KEEEEERO!!!MTU ANALIPIA KIFURUSHI CHA GB 5  LAKINI WIKI NZIMA HAKIMSAIDII CHOCHOTE NA PESA MMEKULA!!! INAUDHI SANA! BADILIKENI