Adverts

Mar 9, 2013

TANESCO KEEEERO!!!!! HASA WILAYANI KWANGU!


SHIRIKA LA UMEME TANZANIA LIMEENDELEA NA KAMCHEZO KAKE KA KUWADHARAU WANANCHI WA PEMBEZONI NA HASA WILAYA YA MBOZI NA MOMBA KUTOKANA NA UTARATIBU WAKE WA KUKATA  UMEME OVYO BILA TAARIFA KAMA ILIVYO KWA MAENEO MENGINE NCHINI!
HALI HII IMEONEKANA KUZOELEKA NA KUWA SEHEMU YA MAISHA YA WANANCHI WA WILAYA HIZO TOFAUTI NA MAENEO YA MIJINI AMBAKO UKIKATIKA SAA MOJA TAYARI KELELE ZAO ZINASIKIKA NA TANESCO HARAKA HUTANGULIZA SAMAHANI NA KUJITOKEZA KWENYE KAMERA YA TV KUELEZA TATIZO LA KATIZO HILO, LAKINI KWA WILAYA KAMA MBOZI HILI HALIPO UMEME UNATIKA SIKU MOJA, MBILI HAKUNA TAARIFA YOYOTE WALA KUOMBWA MSAMAHA!
CUSTOMER CARE IPO LIKIZO AU?