Bweni la watoto wenye ulemavu likiwa katika hatua za mwisho kukamilika, ni miongoni mwa miradi inayotekelezwa na halmashauri ya wilaya ya Mbozi kwaajili ya kuweka miundombinu rafiki ya kusomea kwa watoto wenye ulemavu. Litagharimu kiasi cha shilingi 80 Milion mpaka kukamilika kwake
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Mbozi Levison Chilewa akijadiliana jambo na diwani wa Ihanda bwana Kasebele
Badala ya kuwekwa ngazi, ngazi mchalazo kama hii ndiyo njia mwafaka ya kurahisisha walemavu kuingia kwenye jengo lao kuelekea darasani
Vyoo vya walemavu vinavyoendelea kujengwa
Sura ya bweni kwa ndani na vibambaza vya vitanda