Adverts

Mar 19, 2013

UKAGUZI WA MIRADI MBOZI, MKANDARASI AONYWA

Bwana Samson Simkoko mmoja wa madiwani akihoji jambo kwenye miongoni mwa miradi inayoendelea kujengwa na halmashauri ya wilaya ya Mbozi
Mkurugenzi wa kampuni ya Sombyo bwana Lebi akifafanua jambo wakati madiwani wakikagua miongoni mwa miradi inayotekelezwa na halmashauri ya Mbozi
Mhandisi wa Ujenzi Mbozi akitoa ufafanuzi miongoni mwa mambo yaliyoulizwa na wadau wa maendeleo katika ukaguzi wa miradi ya maendeleo wilayani