Na
Anjela Kivavala DSJ
Kila
saa mwana mke mmoja amekuwa akifariki dunia kutokana na matatizo yaujauzito au wakati wa kujifungua
imefahamika
Zaidi
ya watoto 460 wamekuwa wakipoteza maisha
kila siku 2007 hadi 2008 idadi ya hiyo imepungua hadi zaidi ya watoto 445 zaidi ya 140 kati
yao walikuwa na umri chini ya mwezi mmoja kwa mujibu wa takwimu zilizo tolewa
wizara ya afya
Kulingana
na takwimu zilizotolewa na wizara
ya maendeleo ya jamii, jinsia na watoto
hivyo basi kuwekeza katika huduma
ya afya kutaweza kupunguza vifo vya mama wajawazito na watoto
Ili kupunguza vifo vya mama na mtoto ni muhimu kuboresha zahanati na hospitali hasa vijiji hili kupunguza vifo vya wanawake
na watoto vinavyo tokea nyumbani
ambapo kunakuwa hakuna vifaa vya kujifungulia
Kupanua
uwekezaji katika huduma zisizo ghali ambazo
hunusuru maisha ya mwanamke na mtoto
ikiwa ni pamoja na kutoa
vyandarua vilivyo wekwa dawa kwa
kila familia hivyo kutapunguza vifo
vitokana vyo na malaria
Kuwaelimisha
wazazi wote namna ya kuyatibu magonjwa yanayo ua kama vile kuharisha na kutoa
chanjo kwa watoto ili kuwa kinga na magonjwa yanayo zuhilika
Hayo
yaliandikwa katika ajenda za watoto kila mama lazima awe na fursa ya kujifungua
kwa kuhudumiwa na mkunga wa afya hili kuokoa maisha ya mama na mtoto.