Adverts

Oct 29, 2013

VWAWA JIONI YA LEOWadau wa Indaba Africa wakiwa katika moja ya karakana za Mji wa Mbozi leo jioni 

 Marekebisho yakiendelea kwenye moja ya magari yanayosaidia ukuzaji wa mji wa Vwawa kupitia shughuli za Uchukuzi wa zana za ujenzi zikiwemo Tofali, Mchanga na mawe