Risala ya vyama vya wafanyakazi mkoani DODOMA imeituhumu serikali kuwa ina ubia na wala rushwa na ndiyo sababu imekuwa ikifumbia macho kushuhulikia kero hizo,
wakisoma mbele ya mkuu wa mkoa wa Dodoma wafanyakazi mkoa wa Mbeya wameonyesha hofu yao kuwa kufanya hivyo kumekuwa kukiwakatisha tamaa.
more sooon
May 1, 2012
MEI MOSI DODOMA YAANZA VYEMA MAANDAMANO YAMALIZIKA
![]() |
| Wafanyakazi wakiendelea na maandamano kuelekea uwanja wa Jamhuri Mjini DODOMA mchana huu |
![]() |
| Taasisi na Idara mbalmbali zikiandamaana katika maadhimisho ya siku ya wafanyakazi MEI MOSI |
![]() |
| Chuo cha Biashara Dodoma CBE wakiwa miongoni mwa waandamanaji wakipita mbele ya mgeni rasmi |
![]() |
| WIMBO wa solidarity forever ukiimbwa kwenye maadhimisho hayo |
![]() |
| Baadhi ya wafanyakazi walioshiriki maadhimisho hayo wakifuatilia kwa makini maonyesho ya taasisi mbalimbali wakati magari na mbwembwe hizo zikipitishwa kwenye uwanja wa jamhuri |
![]() |
| Sehemu ya waaandamanaji wakieelekea kwenye jukwaaa kuu ambako mkuu wa mkoa wa Dodoma Dr Rehema Nchimbi alikuwa mgeni rasmi |
![]() |
| Wafanyakazi wa manispaa ya Dodoma wakifanya usafi kwenye uwanja wa hamhuri kama sehemu ya maonyesho ya maadhimisho ya siku ya wawafanykazi mei mosi |
![]() |
| Wafanyakazi wakifuatilia mbwembwe za maonyesho ya taasisi mbalimbali yaliyokuwa yakipita kwenye jukwaa kuu |
![]() |
| Baadhi ya wafanyakazi bora wakisubiri muda mwafaka wa kuchukua chao mbele ya mgeni rasmi |
MEI MOSI DODOMA KUMEKUCHA ASUBUHI
![]() |
| Hawa ni watu muhimu katika kuifanya miji yetu ilingane na hadhi zake, hapa wakiwa na zana zao katika maandalizi ya maandamano katika viwanja vya Nyerere Square |
![]() |
| Hapa ni waahadhiri wa chuo cha Mipango DODOMA wakibadilishana mawazo wakati wa maandalizi ya maandamano katika viwanja vya Nyerere square mjini DODOMA |
![]() |
| Profesa Zilihona akizungumza na wahadhiri wengine wa chuo cha Mipango, anayeonekana kuchangia hapo ni Dr Malila, kulia ni Bwana Haule afisa Habari na mawasiliano Chuo cha Mipango Dodoma |
![]() |
| Ni katika kuhanikiza sherehe za Mi Mosi mjini Dodoma, chuo cha Mipango chajiakisi namna kinavyokabili changamoto za ajira kwa wahitimu wake |
![]() |
| Mdau wangu wa siku nyingi toka tupoteane, Dr Ngumbi katikati akiwa na wafanyakazi wenzake wa halmashauri ya wilaya ya wilaya ya Mpwapwa katika viwanja vya Nyerere |
![]() |
| Ni katika mazingira ya maandalizi ya maandamano hapa Nyerere square Dodoma endelea kuwa nasi tukufahamishe yanayojiri |
Apr 27, 2012
CHAMA CHA MAPINDUZI CHATEUA MAKATIBU KUKAIMU MIKOA MIPYA
Kamati
Kuu iliyokutana leo tarehe 27/04/2012 chini ya Mwenyekiti wake Mhe. Dr.
Jakaya Mrisho Kikwete Jijini Dar es salaam, pamoja na mambo mengine
imefanya yafuatayo.;
A. UTEUZI
Kamati Kuu imeteua wafuatao kuwa makaimu Katibu wa mikoa. Vituo vyao vya kazi vitapangwa baadae. Uteuzi huu unatokana na kuwepo kwa mikoa wazi mitano, mikoa hiyo ni;
Geita
Njombe
Simiyu
Katavi
Magharibi
Hivyo wafuatao wameteuliwa kuwa makaimu katibu wa CCM wa Mikoa.
1. Ndg. Hilda Kapaya
2. Ndg. Shaibu Akwilombe
3. Ndg. Hosea Mpangile
4. Ndg. Alphonce Kinamhala
5. Ndg. Aziz Ramadhani Mapuri
B. HALI YA KISIASA:
Rais amepokea taarifa na maazimio ya Kamati ya wabunge wa CCM na Kamati ya uongozi ya wabunge wa CCM juu ya kilichotokea kwenye bunge lililopita mjini Dodoma.
Taarifa hizo zimewasilishwa kwenye kamati kuu na kujadiliwa. Pamoja na taarifa hizo kamati Kuu imepokea taarifa ya jinsi Rais alivyojipanga kuchukua hatua za kuwawajibisha mawaziri na watendaji wa serikali na wale wa mashirika ya umma waliobainika kuhusika na ubadhirifu ulioinishwa na taarifa ya Mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za Serikali, Kamati za kudumu za bunge na wabunge bungeni.
Kamati Kuu imeamua yafuatayo;
1. Kamati Kuu inatambua na kuheshimu haki na wajibu wa wabunge kujadili utendaji wa serikali yao.Inapongeza juhudi za serikali kuhakikisha kuwa ripoti ya mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali inajadiliwa kwa uwazi na hivyo kuibua mapungufu yaliyojadiliwa.
2. Kamati Kuu imeridhika na imebariki uamuzi wa Rais KULISUKA UPYA BARAZA LA MAWAZIRI na taasisi zingine zilizoanishwa katika ripoti hizo. Imesisitiza utekelezaji wa uamuzi huo ufanywe mapema iwezekanavyo.
Aidha kamati Kuu imeipongeza Kamati Teule ya baraza la wawakilishi Zanzibar iliyoundwa kuchunguza utendaji katika sekta mbalimbali kwenye serikali ya mapinduzi Zanzibar kwa taarifa yao.
Kamati Kuu inawapongeza wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kwa jinsi walivyojadili taarifa hiyo na pia Kamati Kuu inaipongeza Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa kuipokea taarifa na kuanza kuifanyia kazi.
Nape Moses Nnauye
Chama Cha Mapinduzi
The Ideology and Publicity Secretary

Last edited by Ng`wanakidiku; Today at 18:10.
Apr 26, 2012
![]() |
| Utafiti huo haumaanishi kuwa watafiti wenyewe waliishi chini ya dola moja!!! Chief Pangani akiwa ameshikiria mfupa wa nyama, hii ilikuwa chakula cha Mchana wakati wa utafiti huo |
![]() |
| Kumekucha ratiba ya kwenda field imeanza, Indaba Afrika akiwa na rafikie tayari kwa safari |
CHUO CHA MIPANGO YAGHARIMIA MILANGO MITATU YA MADARASA WAMI DAKAWA
![]() |
| Afisa Mtendaji Kijiji cha Wami Dakawa Bwana ALLY KIBEKU akipokea ufunguo wa ofisi ya walimu ambayo pia imewekwa mlango mpya kwa msaada wa chuo cha Mipang |
![]() |
| Utawala bora ni moja ya somo lililopitwa kwa viongozi wa kijiji hicho ikiwa ni mrejesho wa utafiti mdogo uliofanywa kabla ya kuandaa mpango wa Uwiano wa Kijiji hicho |
BIASHARA!!!!!!!!!!!!UBUYU UNAUZWA MZIGO MKUBWA
UBUYU UNAUZWA IN BULK, GUNIA 2000 WASILIANA NA MTANDAO HUU, PIA MAFUTA YA UBUYU YANAYOTUMIKA KUONGEZA KINGA KWA WENYE UPUNGUFU WA KINGA MWILINI YANAPATIKANA
UNAUJUA UTAMU WA DAFU? CHEZEA DAFU WEWEE!!!
![]() |
| Wadau kutoka Chuo cha Mipango wakilamba madafu katka kijiji cha WAMI DAKAWA wakati wakiwa kwenye shughuli za utafiti |
![]() |
| Mhhh mmoja wa wasomi wa chuo hicho alizidiwa na Utamu wa Dafu na kuligida kama komoni kule kwetu vijijini |
![]() |
| Aisee hata Meku akadhani hii Mbege!! ni Bwana Mushi akinywa maji ya madafu baada ya jua kali la Wami Dakawa |
![]() |
| Hii foleni yote inasubiri madafu! kweli utamu wa madafu kama wimbo wa Rose Mhando |
![]() |
| Umeonaeeeee! |